VIDEO: TRA wakipiga "STOP" kiwanda cha pombe

Kamishna Mkuu Wa Kodi Nchini Bw. Charles E. Kichere ametembelea kiwanda cha pombe kali mjini Babati cha Mati Super Brand Ltd ambapo ameagiza kiwanda hicho kikamilishe taratibu za kufunga mfumo mpya ili kiendelee na uzalishaji.
Amesema mfumo huo wa kielektoniki utaiwezesha mamlaka hiyo kujua vinywaji vinavyozalishwa na gharama za bidhaa hiyo katika kodi pamoja na Kuondoa Vinywaji Feki Sokoni.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE