https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: "Try Again" aelezea sababu ya kipigo cha Al Ahly, "Tutafuzu robo fainali" | Muungwana BLOG

VIDEO: "Try Again" aelezea sababu ya kipigo cha Al Ahly, "Tutafuzu robo fainali"


Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Simba Salim Abdallah maarufu kama Try Again, amefunguka siri ya ushindi wa timu yao  dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika. Try Again ameongeza kuwa uwezekano wa Simba kutinga katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo ni mkubwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE