.

2/11/2019

VIDEO: Tshabalala afunguka mechi na Al Ahly/ Ushindi nyumbani lazima


Mchezaji wa Simba Mohammed Husseni maarufu kama Tshabalala amefunguka kuhusu mchezo wao wa Jumanne hii wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Al Ahly katika hatua ya makundi. Tshabalala ameongeza kuwa kutokana na muonekano wa kundi lao inaonyesha kila timu inauwezo wa kushinda kwenye uwanja wa nyumbani kwake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE