VIDEO: Viongozi Yanga wamcharukia Jerry Muro, "Hajatutendea haki"


Uongozi wa klabu ya Yanga, kupitia kwa Kaimu Makamu Mwenyekiti wake Siza Lyimo, amefunguka kuhusu kauli aliyoitoa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kwa kuwaponda baadhi ya wachezaji wao kuwa ni wazee na kocha Mwinyi Zzahera ni kama muhamasishaji ndani ya timu hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE