https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Zahera afunguka kilichowafungisha/ Amtaja Zana Coulibaly | Muungwana BLOG

VIDEO: Zahera afunguka kilichowafungisha/ Amtaja Zana Coulibaly


Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera, amefunguka sababu ya kufungwa bao 1-0 na Simba kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Zahera pia amemtaja beki wa Simba Zana Coulibaly alikuwa anatawala mchezo kutokana na wachezaji wake kushindwa kukaba upande aliokuwa nacheza.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE