VIDEO: Zahera atema cheche baada ya kuifunga Mbao, "Kila kitu kina mwisho"


Kocha wa Yanga Mwinyi Zzahera amefunguka baada ya kuifunga timu ya Mbao kwa mabao 2-1 katika uwanja wa CCM Kirumba Jumatano hii. Zahera amedai kuwa aliwaambia wachezaji wake wangeshinda mechi hiyo huku akiongeza kuwa "Kila kitu kina mwanzo na mwisho".

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE