.

2/14/2019

Wavunja Benki na kubaka wafanyakazi


Majambazi watatu  wamevamia benki nchini Uganda (DFCU) na kuwabaka wafanyakazi wawili ikiwa ni kuwashinikiza kutoa ufunguo wa sanduku la kuhifadhi fedha, hata hivyo hawakupewa funguo hizo.

Inaripotiwa kuwa majambazi hapo walikuwa na silaha (AK47 rifle), baada ya wizi wao kutofanikiwa, majambazi hao waliharibu chumba cha kuongoza kamera za ulinzi (CCTV), na kuiba 'monitor' na CPU zinazohifadhi video za ulinzi za CCTV.