2/16/2019

Zawadi ya Tanasha aliyompa Diamond kwenye Valentine’s Day


Kwenye Valentine day Diamond alimsuprise mpenzi wake studio kwa kuagiza kundi la watu waliompelekea maua, kadi na vitu vingine.

Tanasha hakuwa mbali kumpa zawadi yake Diamond Platnumz ambapo Diamond alionyesha zawadi ya saa fulani hivi kali ambayo amejivunia kupewa na mpenzi wake kwa kuandika "Tanks Baby i loveee it".

Kumbuka wakati Diamond akimsprise mpenzi wake huyo, Tanasha alisema kuwa anajiona ni mwanamke mwenye bahati zaidi duniani kuwa na msanii huyo.