https://monetag.com/?ref_id=TTIb Baada ya kushinda 7-0, Simba Queens kushuka dimbani leo | Muungwana BLOG

Baada ya kushinda 7-0, Simba Queens kushuka dimbani leo


Ligi Kuu ya Wanawake imeendelea tena leo ambao timu sita zitashuka dimbani kusaka pointi tatu. Mara baada ya  Simba Queens kuishushi kichapo cha 7-0 Evergreen Queens, leo itacheza Alliance Girls. Chini ni ratiba ya michezo mingine.