3/20/2019

Hii ndiyo Ratiba ya mechi za Simba SC zilizosalia katika Ligi Kuu


RATIBA YA SIMBA MECHI ZOTE ZILIZOSALIA
31/03/2019 Simba vs Mbao - Dsm
 03/04/2019 Simba vs JKT Ruvu - Dsm
06/04/2019 KMC vs Simba - Dsm
09/04/2019 Simba vs Biashara - Dsm
 12/04/2019 Simba vs Mtibwa - Dsm

Timu itakwenda mikoani kuvifuata vigongo hivi
15/04/2019 Coastal vs Simba - Tanga
19/04/2019 Kagera vs Simba - Kagera
22/04/2019 Alliance vs Simba - Mwanza
25/04/2019 Biashara vs Simba - Mara
30/04/2019 Prisons vs Simba - Mbeya
03/05/2019 Mbeya city vs Simba - Mbeya

Timu inarudi Dsm
06/05/2019 Simba vs Coastal - Dsm
09/05/2019 Simba vs Kagera - Dsm
12/05/2019 Simba vs Azam - Dsm
18/05/2019 Simba vs Ndanda - Dsm

Timu itawafuata hawa Mkoani
 22/05/2019 Singida United vs Simba - Singida
26/05/2019 Mtibwa vs Simba - Morogoro