3/17/2019

Matokeo ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) leo


Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) imetimua vumbi tena leo ambapo Ndanda FC imevaana na KMC FC. Chini ni matokeo  ya mchezo huo kama yaliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)