https://monetag.com/?ref_id=TTIb Nukuu kumi za mafanikio | Muungwana BLOG

Nukuu kumi za mafanikio

1.”The only place where success comes before work is in the dictionary”. (Vidal Sassoon)
Sehemu pekee ambapo neno Mafanikio huja kabla ya Kazi, ni kwenye kamusi ya Kiingereza!

2. “Every day I get up and look through the Forbes list of the richest people in the world, If I’m not there, I go to work”. (Vinnie Rege)
Kila siku nikiona jina langu halipo kwenye ukurasa wa watu matajiri zaidi duniani, naenda kuchapa kazi

3. “A friendship founded on business is a good deal better than a business founded on friendship.” (John D. Rockefelle r)
Urafiki unaopatikana kutokana na biashara zenu ni bora kuliko biashara itakayozaliwa kutokana na urafiki wenu.

4. . “Success is liking yourself, liking what you do, and liking how you do it.” (Maya Angelou)
Mafanikio ni kujipenda wewe, kupenda unachokifanya tena kwa namna unavyokifanya

5. “If you don’t have a competitive advantage, don’t compete.” (Jack Welch)
Kama huna Kitu chochote cha kipekee Usishindane!

6. Impossible is just a big word thrown around by small men who find it easier to live in the world they've been given than to explore the power they have to change it. Impossible is not a fact. It's an opinion.
"Haiwezekani" ni neno lililosambazwa na watu wachache walioridhika na namna wanavyoishi bila kutambua uwezo walionao kuibadili dunia wanayoishi. Neno "Haiwezekani" ni wazo tu, halina uzito wala kweli yoyote !

7. While most are dreaming of success, winners wake-up and work hard to achieve it .
wakati wengi wakiwa bado wanaotandoto za mafanikio, Washindi huamka na kufanya kazi kwa bidii kutimiza ndoto hizo.

If opportunity doesn't knock, build a door.
Ukiona Fursa hazigongi mlangonI kwako, ujue pengine huna mlango, Jenga mlango!

9. “Greatness is not achieved by never falling but by rising each time we fall.” – Confucius
Mafanikio makubwa hayafikiwi kwa kutokuanguka/kushindwa, bali ni kusimama kila tuangukapo

10. “Don’t wait until everything is just right. It will never be perfect. There will always be challenges, obstacles and less than perfect conditions. So what. Get started now. With each step you take, you will grow stronger and stronger, more and more skilled, more and more self-confident and more and more successful.”

Usisubiri mpaka kila kitu kiwe sawa kwa asilimia 100 ndo uanze kutimiza lengo lako, siku zote kutakuwa na changamoto na vikwazo. Unachotakiwa kufanya ni kuanza sasa kutimiza lengo lako na utajikuta kila hatua unayopiga, unakuza utashi, nguvu zako, na kujikuta ukijiamini zaidi na kuwa na mafanikio zaidi!