Picha: EWURA yazindua ripoti ya utendaji wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira 2017/18


Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imezindua ripoti ya utendaji wa Mamlaka za Maji safi na Usafi wa Mazingira kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma,