3/15/2019

Picha: IGP Sirro akutana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania


Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirroamekutana na  Balozi wa Kenya nchini Tanzania Dan kazungu leo wakati alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kujitambulisha ambapo kwa pamoja wamekubaliana kuendelea kushirikiana kwenye masuala ya kiusalama baina ya nchi hizo mbili.