3/17/2019

Picha: Kilimanjaro waanza maadhimisho ya wiki ya Maji Duniani kwa kufanya usafi


Mkurugenzi wa Halmashaur ya Manispaa ya Moshi,Michael Mwandezi(katikati) akiwa na Afisa wa Bonde la Pangani , Segule Segule (Kushoto) kwa pamoja wakishiriki zoezi la kufanya usafi katika soko la Mbuyuni ikiwa ni uzinduzi rasmi ya wiki ya Maji.