3/17/2019

Picha: Mafunzo ya Utayari kwa Jeshi la Polisi yafungwa Morogoro


Mkuu wa Operesheni na Mafunzo Ndani ya Jeshi la Polisi, CP Kamishna Liberatus amefunga mafunzo ya utayari kwa wakaguzi katika chuo cha Polisi Kidatu kilichopo Mkoa wa Morogoro.