Picha: Tanzania yazoa medali za dhahabu 3 mashindano ya UAE


Timu ya riadha ya Tanzania yavuna medali tatu za dhahabu, moja ya fedha na mbili za shaba katika mashidano maalum ya Olympic kwa watu wenye ulemavu wa akili yanayoendelea UAE.