3/17/2019

Picha: Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama wafanya ziara katika Chuo cha Polisi


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), amewaongoza Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama katika Chuo cha Polisi Kidatu kwa ajili ya ukaguzi na ushauri wa miradi ya Serikali, Ziara hiyo imefanyika leo, Mkoani Morogoro.