3/17/2019

Picha: Waziri Lugola apima madereva ulevi


Leo Machi 17, 2019 Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amefanya operesheni kubwa ya kukagua na kupima ulevi wa pombe kwa madeveva wa mabasi na malori mjini Morogoro.