https://monetag.com/?ref_id=TTIb Picha: Waziri Mkuu, ashiriki mazishi ya marehemu kaka yake | Muungwana BLOG

Picha: Waziri Mkuu, ashiriki mazishi ya marehemu kaka yake


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ashiriki mazishi ya marehemu kaka yake, Mzee Said Majaliwa aliyefariki  Machi 12, 2019 na kuzikwa Machi 13.2019 katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa.