https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Chadema Arumeru, wamuwakia Spika Ndugai | Muungwana BLOG

VIDEO: Chadema Arumeru, wamuwakia Spika Ndugai


Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kupitia mwenyekiti wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Gadiel Mwanda,wamelaani maamuzi ya Spika ya kumvua ubunge Mh Nassar kuwa sio ya haki.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE.....