3/15/2019

VIDEO: INASIKITISHA! Matiko asimulia maisha ya gerezani A-Z / tulichanganywa na chizi

Leo Machi 15 Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko amefunguka kuhusiana na maisha yake aliyoishi akiwa gerezani kwa siku 104 ambapo amesema ameona mambo mengi na ya kusikitisha ikiwa ni pamoja na kuchanganywa chumba kimoja na chizi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE