VIDEO: Kada CHADEMA asema 'Nassari anastahili kuchapwa fimbo 70'


Mwananchi wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni kada wa CHADEMA, Noel Levaroi amesema kuwa Hoja za Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari hazina maana kwa kuwa amevunja mwenyewe sheria na siyo wakati wote wanaweza kusema serikali imekosea pale inapofuata sheria huku akisema Spika wa Bunge ametenda haki yake.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI, PIA SUBSCRIBE..........