3/17/2019

VIDEO: Kocha Liogope azungumzia kiwango cha Niyonzima mechi na AS Vita


Kocha na mchambuzi wa michezo Kassim Liogope amefunguka kuhusu kiwango bora ambacho amekionyesha Haruna Niyonzima katika mechi na AS Vita ya DR Congo mpaka kuisaidia timu yake ya Simba kushinda kwa mabao 2-1 na kufanikiwa kufuzu katika hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Afrika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE