3/17/2019

VIDEO: Mbunge acharuka, CUF Lipumba kuitwa tawi la CCM/Genge la wahuni

Mbunge wa viti maalum, Kiza Mayeye amewacharukia watu wanakichafua Chama cha Wananchi CUF kwa kukiita tawi la CCM pia ni genge la wahuni waache mara moja kwani chama hicho kina kinafuata katiba na sheria.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE