VIDEO: Mchambuzi Abbas Pira aliyecheza Chelsea afunguka mechi ya Simba na AS Vita


Mchambuzi wa michezo ambaye pia amewahi kucheza kwenye timu ya vijana ya Chelsea, Abbas Pira, amefunguka kuhusu mchezo wa Jumamosi hii wa kufuzu hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Afrika ambapo Simba itacheza na AS Vita ya DR Congo  katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE