3/17/2019

VIDEO: Nassar atokwa na machozi, amuomba spika kuwa na huruma


Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassar, amesema kuwa aliamua kukilinda kiapo alichokiapa kanisani wakati anafunga ndoa na mkewe kuwa atakuwa naye na kumlinda wakati wote hivyo akaamua kutokuhudhuria vikao vya bunge kutokana na tatizo la kiafya alilokuwa nalo Mke wake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE......