3/15/2019

VIDEO: Sakata la Nassri kung'olewa Ubunge kaa la moto, Mbowe amvaa Spika

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema suala la Joshua Nassari kuvuliwa Ubunge ni la kusikitisha kwa kuwa kama kiongozi wa Upinzani bungeni hakupata taarifa yoyote ile na ukizingatia alipata wasaa wa kukaan akuzungumza na Spika wa bunge na hakumgusia juu ya utoro wa Nassari.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE