3/17/2019

VIDEO: VITUKO: Zana Coulibaly alivyocheza "TETEMA" ya Rayvanny/ Mashabiki wapagawa


Beki wa Simba Zana Coulibaly ni mchezaji ambaye amekuwa haishiwi vituko kila kukicha. Jumamosi hii vituko hivyo vilionekana kuzidi baada ya Simba kufanikiwa kuwafunga AS Vita ya DR Congo kwa mabao 2-1 kwenye mchezo wa mwisho wa makundi kufuzu hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE