3/17/2019

VIDEO: Wazazi wageuka Mbogo watoto kuvaa nguo fupi


Wazazi katika kata ya Mbunguni, wilayani Arumeru, wamewajia juu wanafunzi wanaovaa nguo fupi ambazo hazina maadili wanapoenda Shule na kwa kuzipunguza kuwa fupi wakati wazazi wao hawafahamu chochote.

ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE