3/15/2019

VIDEO: Cheki vituko vya DC Muro, Atoa neno hili kwa wana simba


Mkuu wa wilaya Mh Jerry Murro amewatakia Heri Timu ya Simba na Mashabiki wake ushindi mwema na amesema kikubwa washinde na wakishindwa watakuwa kama samba wa maonyesho tu.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...........USISAHAU KUSUBSCRIBE...............