https://monetag.com/?ref_id=TTIb Bodi ya Filamu yamshutumu Mbunge Musukuma kwa udhalilishaji | Muungwana BLOG

Bodi ya Filamu yamshutumu Mbunge Musukuma kwa udhalilishaji


Bodi Filamu amesema kauli iliyotolewa na Mbunge Joseph Musukuma inadhalilisha bodi hiyo na wasanii.

Jana Bungeni Musukuma alisema, 'Tasnia ya filamu nchini ipo hoi taabani. Wasanii wa Bongo Movie hawana kitu, wanategemea michango ya misiba, kufungua madanguro na kuwa makuwadi wa wanaume'.