BREAKING: Ajali ya Mwendokasi na gari dogo yaua mmoja Dar (+Picha)


Dereva wa gari dogo aina ya Nissan March lenye namba za usajili T968 DNZ amefariki dunia baada ya gari hilo kugongana na Basi la Mwendokasi eneo la Magomeni Mapipa leo mchana.