https://monetag.com/?ref_id=TTIb Bunge lakanusha Spika kushinikiza CAG kujiuzulu | Muungwana BLOG

Bunge lakanusha Spika kushinikiza CAG kujiuzulu


Taarifa ya Ofisi ya Bunge imesema kuwa Spika Job Ndugai hajamshinikiza CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu au kujieleza kwa mwajiri wake. Hivyo umma unaarifiwa kupuuza taarifa zote zinazosema kwamba Ndugai amemshinikiza CAG kujiuzulu au kujieleza kwa mwajiri wake.