Mamlaka ya Hali ya Hewa imetoa utabiri wa saa 24 zijazo


Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Imetoa utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo 17/04/2019.