Mwakilishi kwenye Bunge la Wanafunzi UDSM ajiunga ACT Wazalendo


Mwakilishi kwenye Bunge la Wanafunzi UDSM (USRC) kutoka College of Social Sciences mwenye dhamana ya michezo Ndugu Mrisho Rashidi amejiunga na ACT- Wazalendo

Ndugu Mrisho na kukabidhiwa kadi leo na Katibu Mwenezi Taifa, Ado Shaibu.