4/17/2019

Nyumba inauzwa Mapinga (Baobab sec) 

Nyumba kubwa (pagala) inauzwa Mapinga (Baobab sec), km 2 tu kutoka main road.

Nyumba hii ina vyumba 4, sebure, kitchen na dining, Ina kiwanja kikubwa sana cha sqm 2200 (35/64). Huduma za umeme na maji zipo.

Bei ya pagala (nyumba) hii ni tsh 55,000,000 negotiable). Hakuna dalali, mpigie mhusika 0758603077, whatsap 0757489709