Picha: Rais Magufuli na mkewe wakiwa katika ibada Parokia ya Mt. Mathias Mulumba, Ruvuma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma leo katika Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma.