4/17/2019

Picha: Waandishi wa Habari wahitimu mafunzo ya usalama Barabarani


Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP. Fortunatusi Musilimu akisisitiza jambo wakati alipokuwa akifunga mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusu usalama Barabarani leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama Barabarani ya Bloomberg Global Initiative chini ya ufadhili wa Shirika la Afya Duniani (WHO).