Loading...

4/15/2019

Rasmi: Tanzania kuingiza timu 4 michuano CAF


Baada ya Jana klabu ya Gor Mahia kutolewa na RS Berkane ya Morocco sasa ni rasmi nchi ya Tanzania itaingiza timu 4 kwenye michuano ya CAF msimu wa 2020/21 ikiwa timu 2 kwenye michuano ya CAF Champions League (Klabu Bingwa) na timu 2 kwenye michuano ya CAF Confederation Cup (Shirikisho).

Mafanikio ya Simba SC msimu huu ya kufika robo fainali imeifanya nchi ya Tanzania kupanda kutoka nafasi ya 24 hadi ya 12. Kila hatua kwenye michuano ya klabu bingwa ya klabu bingwa Afrika (Caf Champions League) na kombe la Shirikisho (Caf Confederation Cup) kuna pointi zake kama


Loading...