Simba SC watoa tamko baada ya kotolewa mashindano ya CAF


Baada ya kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe kwa jumla ya mabao 4-1, uongozi wa Simba kupitia Ofisa Habari wake, Haji Manara, umesema umeacha alama kwenye michuano hiyo.