https://monetag.com/?ref_id=TTIb Thierry Henry atakiwa New York Red Bulls | Muungwana BLOG

Thierry Henry atakiwa New York Red Bulls

Klabu ya New York Red Bulls inajiandaa kumpa kibarua cha ukocha Thierry Henry ili akifundishe kikosi hicho kinachoshiriki Ligi ya Marekani.

Henry aliwahi kuichezea klabu hiyo kwa miaka minne kati ya 2010 na 2014, aliweza kufunga magoli 52 kwenye michezo 135.