VIDEO: Ajichinja kwa kisu na kufariki dunia


Mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la Lazaro Keolori mwenye umri wa miaka 53 mkazi wa Simanjiro amekutwa amefariki dunia baada ya kujichinja mwenyewe hadi kufa kwa kutumia Kisu kidogo.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathani Shana amesema uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa kulikuwa na mgogoro wa kifamilia kati ya wake zake wawili.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KU-SUBSCRIBE