Loading...

4/10/2019

VIDEO: Lugola atoa agizo kwa Jeshi la Polisi, IGP Sirro afunguka


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) amewataka askari wa Jeshi la Polisi kuzingatia sheria kanuni na taratibu pamoja na miongozo mbalimbali wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kazi sambamba na kujenga ushirikiano mkubwa baina yao na wananchi.

Kwa upande wake Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, amesema kuwa kila mwananchi anaowajibu wa kushiriki katika juhudi za kushughulikia uhalifu na kuhakikisha nchi yetu inakuwa na utulivu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Loading...