VIDEO: Makonda aibua madudu Kinondoni, aagiza TAKUKURU kuchunguza haraka


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuagiza Mkurugenzi wa TAKUKURU Mkoa huo kufanya uchunguzi wa utaratibu wa upatikanaji wa tenda kwenye miradi ya DMDP baada ya kubaini matumizi mabaya ya fedha za serikali katika miradi hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE