4/14/2019

VIDEO: Mama auwa watoto wake sita kwa kuwakata mapanga


Mwanamke aliye julikana kwa jina la Nana Maganga (35) mkazi wa Wilaya ya Nzaga Mkoani Tabora amewauwa watoto wake watano na mmoja wa sshemeji yake  ambaye alikuwa anapata matibabu ya ugonjwa wa akili kwa shemeji yake aliye julikana kwa jina la Masanja Kisengi ambaye ni mganga wa jadi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE