VIDEO: Matapeli wa njia ya simu wamtapeli Kamanda Muroto


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema kwa sasa utapeli umekuwa mkubwa sana na hata yeye amekuwa akitumiwa ujumbe wenye nia ya kumtapeli hivyo kuwaomba wananchi kuwa makini katika masuala ya utumaji fedha kwa ndugu na jamaa zao

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KU-SUBSCRIBE