VIDEO: Mbunge CHADEMA amvaa Pole pole

Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA)Mh,Upendo Peneza amedai kuwa  katibu mwenezi wa CCM ndugu Polepole amekuwa akiwadhalilisha wabunge wa viti maalumu CHADEMA kuwa wabunge hao kupata nafasi hiyo ni lazima watoe rushwa ya ngono kwa viongozi wao

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE