VIDEO: Mnyeti kuwawashia moto Madaktari na wauguzi wazembe

Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti amemtaka mganga mkuu wa mkoa kuanza kuwawajibisha madaktari na wauguzi ambao wanafazembea kufanya kazi hali inayopelekea wagonjwa wengi haswa wakina mama wajawazito kupoteza maisha pindi wanapofika hospitalini kujifungua.

Mnyeti ametoa tamko hilo leo April 10.2019 akizungumza na wakuu wa wilaya, wakurugenzi,madaktari na wauguzi kwenye uzinduzi wa kampeni ya uwajibikaji katika kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi na vya watoto wachanga mkoani Manyara.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE