VIDEO: Msukuma 'AWARIPUA' Bongo Movie


MBUNGE wa Geita, Joseph Musukuma akichangia leo Bungeni katika hotuba ya makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo katika mchango wake amesema kuwa kwa sasa wasanii wa Bongo movie hawana kitu na hakuna mtu anae angalia Bongo movie na kumuomba waziri Mwakyembe kuwaangali wasanii hao ambao huitafuta kiki na kuhudhuria sana misibani huku wakiomba michango kwaajiri ya kuendesha maisha, huku pia wasanii wakubwa ndio wanaongoza madanguro makubwa.


ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE........